Nafahamu yamekuchukulia muda, lakini yamekuwa ni mambo yenye manufaa na changamoto kubwa kwa yeyote aliye ktk utayari wa kujifunza. Nimejaribu kusubiri majibu kwa maswali yale matatu yaliyobakia, lakini nimeyatafakari majibu na maelezo yako, naona umeyafikisha katika kipeo, hivyo nami nayarudisha maswali hayo ili niyachanganye ktk maelezo ya jinsi nami ninavyoliona jambo hili. Kama ambavyo nilikudokezea kuhusu ile tafsiri kama nilivyoiona ktk KJV, mawazo na tafakari yangu, ninavijenga ktk msingi huo mpya kama ilivyo ktk KJV. Kwa hiyo twaweza kutofautiana kidogo katika hatua hizo za awali kulingana na hilo lililojitokeza. Kwanza, mimi ninapenda kuyaamini Maandiko kwa kadiri yanavyojifunua. Kwa hiyo ninapoisoma hiyo mistari miwili ya Mw 1: Hata Giza linalooneshwa katika kipindi hiki, pia ninaliona likiwa ni sehemu ya uumbaji wa Mungu na si Shetani. Maana ktk hilo nimekutajia na kifungu cha Isaya Ninapoyachukua maelezo tunayosimuliwa na Mungu kuhusu uumbaji, roho yangu nami huyafuatilia maelezo hayo kulingana na yanavyotolewa.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Diamond Platnumz – CountryBoyz ( Get ur ticket now #wasafibeachparty)

Post Author:

You may also like

Can A Muslim Woman Marry A Non-Muslim Man?

I am speaking from just my own personal experience as

How do I tell the person I’m dating I want him to delete his Tinder profile?

December 15, Dating services have been around for decades, but

TranslationHi! Do you need to find a partner for sex? Nothing is more simple! Click here, registration is free!